Shilole Awalaani Waliomwibia Account yake ya Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole Katika Pozi
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amemlilia Mungu na kulaani vikali watu walioingilia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram ambako huwa anaposti mambo yake mbalimbali ya kikazi.


Akizungumza na Za Motomoto News, Shilole alisema mpaka sasa wanaendelea kuishughulikia akaunti hiyo irudi na hana mpango wa kufungua nyingine ila waliofanya hivyo anawakabidhi kwa Mungu awafanyie kazi mwenyewe.

Sifungui akaunti nyingine, bado tunaishughulikia hii maana watu wengi wanaijua na napata wateja wengine hasa kwenye biashara yangu ya chakula na shoo mbalimbali, hao walioiba nawakabidhi kwa Mungu,” alisema Shilole.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad