TABIA Gani "Mbaya" imekushinda Kuacha Baada ya Kuingia Kwenye Ndoa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna tabia ambazo baadhi zimekuwa "addictive" kwetu, bahati mbaya nyingi zinabaki kuwa siri sirini  , hatuwezi hata kusimulia wandani/wapenzi wetu (moyo wa mtu ni kichaka).

Tabia kama;
»Kusagana...mke wako aweza kuwa anasagwa balaa na wewe hujui.

»Kuf**wa... mume wako aweza kuwa amekubuhu huo uchafu nawe huna habari masikini ya Mungu.

»Kupiga punyeto/kujichua... kuna wanaume na wanawake wengi tu walikuwa na tabia kama hizi kabla ya kuoa/kuolewa, wameingia nazo ndoani na hawana hata plan ya kuacha, wenzi wao hata hawajui
.
.
.
Zipo zingine nyingi tu. He, ni tabia gani ulikuwa nayo kabla ya kuingia ndoani/mahusiano lakini imekushinda kuacha?

By Eli79
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na wewe mtoaji wa mada hiyo wewe una tabia gani kati ya hizo ulizozitaja

    ReplyDelete

Top Post Ad