Tundu Lissu: ACT Waliazishwa Kuuwa Upinzani, Sasa Wanazawadiwa..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Akijibu swali na mwandishi wa habari juu ya maoni yake kwa uteuzi wa Magufuli kwa wapinzani 

Lissu amesema ACT sio wapinzani, bali walianzishwa kkwa ajili ya kuuwa upinzani na sasa 
wanazawadiwa, Kitila Mkumbo na Anna Mghwira ni zawadi

Amedai serikali hawajawi kuwa na shida na ACT bali shida yake kubwa ni Chadema na CUF na hao wengine ni CCM wakiwa wamevaa magwanda tofauti
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chadema ni wa wapigaji tu, kwani huyo Zito kilimtoa nini huko Chadema?
    Chama chenyewe kimeuzwa kwa Lowasa, zimebadi kelele tu za debe tupu.....wacheni kijicho na roho mbaya, mtaumia sana siku Zito Kabwe atakapokuwa Waziri wa Nishati na Madini hahaha.........saga-chupa-ubwie Lisu

    ReplyDelete

Top Post Ad