Ukweli Mchungu..Freeman Mbowe Chukua Mfano Kutoka kwa Msando, Jiuzulu Uwenyekiti wa CHADEMA..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wiki kadhaa nyuma mjumbe wa kamati ya juu wa chama cha ACT na wakili aliyebobea alikutwa na kashfa baada ya video yake na msanii Gigi kuvuja jambo lililopelekea jamii ku-react na kuanza kumshambulia Msando sababu kaidhalilisha familia yake.Bila ya hiari Albert Msando alichukua hatua ya kuandika barua na kujiuzulu wadhifa wake kama uwajibikaji.

Leo kuna jumbe ya sauti ya mwenyekiti wa enzi wa chadema Mh.Freeman Aikael Mbowe ikionekana ikichepuka na kada mpya Wema Sepetu.Hii scandal haina tofauti na ya Albert Msando.Kama Albert Msando tulimshambulia kwa kutoka na Gigi na tuliongea mengi kama vile kaidhalilisha ndoa yake na hakumfanyia fair mke wake na pia taswira yake kwenye jamii ameiharibu basi hivyo hivyo kwa mwenyekiti wa chadema.

Kwako Mbowe jambo ulilolifanya halikubaliki "sex scandal" viongozi wengi USA na Eu waliwajibika sababu ya sex scandal na hapa nyumbani wakili msomi Msando aliwajibika baada ya video yake kuvuja.Tunakutaka uwajibike chukua mfano kutoka kwa Msando jiuzulu uwenyekiti wa chadema na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani ili ulinde reputation yako.

Chanzo JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ajiuzuru kwa lipi? au nyie hamdindi. kajambe kulee.

    ReplyDelete

Top Post Ad