Mwanariadha Usain Bolt Awaaga Mashabiki Wake Kibabe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usain Bolt
Mwanariadha maarufu duniani kutoka Jamaica, Usain Bolt amewaaga rasmi mashabiki wake kushiriki mashindano ya riadha nchini humo kwa kushinda mbio za mita 100.


Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 30 ambaye ni mshindi wa medali 8 za dhahabu katika michuano ya Olimpiki, ameshinda kirahisi katika mashindano ya mita 100 yaliyofanyika juzi huko Kingstone, Jamaica kwa kutumia sekunde 10.03.

Mbali na ushindi huo aliyoupata juzi, Bolt alikiri kuwa haikuwa kazi rahisi kwa kuwaalijawa na uoga kwa kuogopa kuaga mashabiki wake kwa aibu.

“Nimezoea kuona mashindano yote kama kawaida tuu kwani huwa najiamini ila ya leo nimeona migumu sana na nilishikwa na hofu kama ningeshindwa ningeumia sana kuwaaga mashabiki wangu“Alisema Usain Bolt kwenye mahojiano yake na mtandao wa MSN.

Hata hivyo Usain Bolt anatarajia kustaafu mchezo huo mwezi Agosti mwaka huu baada ya mashindano ya dunia ya riadha yatakayofanyika London, Uingereza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad