VIDEO: Rais wa TFF baada ya kuombwa kutowatumia Diamond na Alikiba tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

diamond na ali kiba
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF leo June 2 2017 mbele ya waandishi wa habari ametangaza kuwashukuru wote waliyokuwa wanaisapoti Serengeti Boys na kuichangia licha ya kutolewa katika mashindano ya AFCON U-17 kwa kanuni ya head to head na Niger.

Baada ya kushukuru watanzanzania na kueleza mipango yao kwa vijana wa Serengeti Boys, kuna mmoja kati ya waandishi aliuliza swali na kumuomba Rais wa TFF Jamal Malinzi asiwatumie tena Diamond na Alikiba kutokana na kutokuwa wazalendo.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mbunge wa Mtama Nape Nnauye wakati akiwa waziri wa michezo aliunda kamati ya uhamasishaji kuhusiana na Serengeti Boys kushiriki AFCON miongoni mwa waliyokuwemo katika kamati hiyo ni Diamond na Alikiba.

Baadae Alikiba na Diamond tulisikia kuwa walikataa kuimba wimbo wa pamoja wa kuhamasisha watanzania kuisapoti Serengeti Boys kwa tofauti zao binafsi
“Naomba nisiongee chochote kuhusu Diamond na Alikiba naomba sana mimi nashukuru tu ni wenzetu walichaguliwa kuingia katika kamati ya uhamasishaji ya Serengeti Boys basi mimi niishie kuwashukuru tu” 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad