Za Chini ya Kapeti..Freeman Aikaeli Mbowe na Usiri wa Ugonjwa Wake..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kuna sintofahamu kubwa kuhusu usiri uliopo katika ugonjwa anaoumwa Mh. Mbowe. Baadhi ya wananchi walipopata taarifa juu ya kulazwa kwa Mh. Mbowe siku ya Ijumaa tarehe 9/06/2017 katika hospitali ya mkoa wa Dodoma (General Hospital) walishindwa kumuona na kumpa pole kwani hakutaka watu wamsalimie au wajue ugonjwa alionao.

Mwenyekiti huyo wa Taifa wa CHADEMA alilazwa katika hospitali hiyo ya mkoa na kufanyiwa Operation ya “ANUS” kutokana na matatizo ya tumbo aliyoyapata baada ya kunywa dawa za kupunguza mafuta mwilini zilizoleta shida na kusababisha kuharisha hadi utumbo ukaathirika na kupelekea kufanyiwa operation ya utumbo mpana (Large intestine)

Navyofahamu mimi kuugua si jambo la kificho na ni utamaduni wetu watanzania kujuliana hali katika matatizo na furaha kama vifo, maradhi na sherehe.

Swali la kujiuliza hapa kwanini Mbowe hakutaka watu wamsalimie? Kweli watu wametoka nyumbani kwa nia njema ya kukuona na kukuombea juu ya afya yako na unakataa kuchukua baraka zao??????

Mbona Mbowe akisikia watu wengine wanaumwa au kufiwa huwa ni wa kawanza kwenda kuwajulia hali na kuwapa pole. Kuna siri gani anaificha hapa………. Anakataa hata viongozi na wanachama wa Chama chake (CHADEMA)kumsalimia!!

Japo hataki kusalimiwa natoa rai kwa watanzania tuendelea kumuombea kwa Mungu amponye haraka.

Chanzo JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atakuwa kaumizwa na Wema (keki ya Taifa) walipokutana Kili.

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo, wewe uloitoa 'siri' ya ugonjwa wake ndio daktari unaemtibu ama nene?

    ReplyDelete

Top Post Ad