Zari Achaguliwa Kuwa Msimamizi Mkuu wa Mali za Marehemu Ivan Ssemwanga..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18. Zari Hassan yumo. 

Wengine waliochaguliwa ni Ritah Ssemwanga(Dada wa Ivan), Lawrence Muyanja(Maarufu kama King Lawrence) na George Ssemwanga ambae ni kaka mkubwa wa Ivan.

Zari ametakiwa kusimamia shule za Ivan zilizoko Afrika Kusini kikiwemo chuo cha Brooklyn na pia nyumba mbili za Ivan zilizoko Sandton na Pretoria. 

Zari pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. atulize mshono sasa, alichotaka kashapewa. bado Dai zamu yake

    ReplyDelete
  2. Du.. Bi masumbuko ataweza kuja bongo? halafu na king raulence wako pamoja kwenye kusimamia mali. patamu hapo, Almasi ajitayarishe kwa mtoto wa 3.wa kuzakiziwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad