GIGY Money Afunguka Kutoa Mimba Mbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MUUZA sura kwenye video za wasanii Bongo, ambaye mwili wake ‘umepukutika’ ghafla, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money, amekiri kutoa mimba mbili mfululizo ambazo ndizo zilizosababisha hali hiyo.

Akizoza na Za Motomoto News, muuza nyago huyo ambaye awali alionekana kuwa na kalio lililotesa mioyo ya wakware wengi, alisema kitendo cha kutoa mimba hizo kilimfanya kuwa taaban na chupuchupu akumbwe na mauti.

“Roho inaniuma sipendi kuongea haya, lakini ni kweli nilinasa ujauzito mara mbili mfululizo, kutokana na vipigo vya mwanaume niliyekuwa naye,… (anamtaja jina) mimba zikawa zinatoka, ya mwisho hadi kizazi kilitoka nje nikaumwa sana hadi nilijua nakufa nikalazwa hospitali siku mbili,” alisema msanii huyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo madhambi yako unatueleza ya nini sasa Si uzae au upo duniani kwa ajili ya maonyesho haya ma mama ya kisasa siyo kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad