MWANAMUZIKI Alikiba Aachia Ngoma Mpya.....Isikilize Hapa Kwa Mara ya Kwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena

Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY

SIKILIZA HAPA NGOMA YAKE MPYA:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thats very nice lyrics,voice mashallah hashindani na mtu yuk pekee mwenye sauti ya kipekee

    ReplyDelete
  2. kama mipigo yenyewe ndiyo hiyo duh!Ngoma imepooza ile mbaya hiyo inaitwa kufa na tai shingoni game limekataa lakini mtu ameng'ang'ania kama ruba mjomba tafuta biashara nyingine ufanye ili maisha yaende UR TIME IS DONE"Limebakia jina tu hasikubali kushindwa si mshindani dogo kwani wewe hutokuwa mwanamuziki wa kwanza duniani kuachia ngazi kila kitu na time yake dogo usilazimishe just step aside while ur name is still honered by ur fans

    ReplyDelete

Top Post Ad