Serikali ya CCM na Kutumia Nguvu na Vitisho vya Polisi.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukiona Baba akiulizwa swali anakuwa mkali ujue hana jibu,
Hajui akujibu nini,
Hajui anakifanya kitamfukisha wapi,
Amepoteza mwelekeo anatafuta pa kutokea.
CCM sasa hivi Polisi ndio kimbilio lao,

Mwananchi akihoji kitu Jela,
Mwaandishi wa Habari akiandika kitu kuhusu Serikali Jela,
Vyama vya Siasa haviruhusiwi kufanya Siasa, Vikifanya Jela,
Na tena hii ni mbaya maana CCM wao kila siku wanafanya mikutano ya Kisiasa kupia Raisi, wakuu wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, kiujumla CCM inafanya Siasa peke yake

Ukiishiwa Sera ndio nguvu hutumika...


Maoni ya Mahweso/JF

NB: Wahenga Walisema "Mwanamke Hapigwi, Bali Hupigwa na Kanga....na  Ukiona Mwanamume anampiga Mke wake jua Kaishiwa na Sera"


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siku-zote-mdomo-ndio-ukiponza-kichwa..........HAPA KAZI TU!!!

    ReplyDelete
  2. We wa hapo juu nsjua huna elimu ya juu.wengi wansomsifu ndugu Magufuli na ccm kutumia ubabe ni wsle wasii na elimu za juu, hawana ufahamu, hawajui haki zao, hawajui elimu ni ufunguo wa maisha, hawana hoja yoyote tenye mafanikio. Ni vilaza vyenye kubabaisha tu. Mtu mzima, mwenye heshima zake ns anajitambua hawezi kuunga mkono unyanyasaji kama huu. Ni wajinga tu ndo waliwao. Na wewe hapo juu ni mjinga kwisha kazi. Ni darasa la saba su shule za kata. Kichwa povu limejaa. Na unawafuasi vilaza wenzako wengi tu nchi hii.elimu duni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi na wewe Anonymous @ 18:02 unajitambua kweli? unazungumzia elimu ilhali hata kuandika Kiswahili kwako ni shida. Sio lazima utoe comments, tafakari kabla hujasema kitu, sometimes kimya kina maana kuliko kuropoka.

      Delete

Top Post Ad