SERIKALI ya Nigeria Yaingia Katika Mgogoro Mkubwa na Wasanii...Yaamuru Mr Peter Okoye wa P Square Akamatwe Haraka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Serikali ya Nigeria imeagiza police kumkamata Peter Okoye "P-Square" baada ya kuwakoromea na kuwafumua viongozi wa serikali Kwa kuwaita "mad and stupid" baada ya serikali kutoa azimio la kupiga marufuku wasanii wote wa Filamu na muziki kushuti kazi zao nje ya Nigeria

Uamuzi ambao umepingwa vikali na asilimia 99% ya wasanii wa nchi hiyo kwa kusema iweje wao wapiganie tasnia hizo kwa shida kubwa kwa miaka mingi bila support ya serikali na Sasa serikali hiyo hiyo inakuja kibabe kupitisha Sheria zisizo rafiki bila hata kuwashirikisha wasanii wenyewe
Sehemu ya andiko la serikali ya Nigeria ikionyesha ubabe flani inasema.....
"We urge the security agencies in the country to arrest Mr Peter Okoye for disrespecting our government and bringing it to a disrepute. If you cannot produce in Nigeria and hire Nigerians, then leave the industry. We must export Nigerian culture to the outside world through our music and videos" .
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad