TUNDU Lissu Agoma Kupimwa Mkojo......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tundu Lissu(Mb) amekataa kupimwa mkojo baada ya kufikishwa kwa Mkemia

Asema kipimo hicho hakihusiani na tuhuma za uchochezi

Taarifa za awali ziliarifu kuwa, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa Kituo cha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.

Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi likisema litaendelea kumshikilia hadi uchunguzi utakapokamilika.

Mbunge huyo wa Singida Mashariki amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akielekea Kigali, Rwanda kwenye kikao cha Halmashauri ya EALS kilichoanza jana.

"Kabla ya kuelekea nyumbani kwake Tegeta, wamempeleka kwa mkemia mkuu na ameshapimwa mkojo, sasa sijui ni kitu gani wanachunguza, kwa sasa wameshaelekea nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua,"amesema Mrema.

Licha ya kulala rumande hakuna aliyeruhusiwa kuingia na kumuona Tundu Lissu wakiwamo wanasheria wake. Mbali na Fatma, wengine waliokuwapo ni Peter Kibatala na Frederick Kihwelo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This is too much what is going on in Tanzania its really shame yaani mtu unakamtwa just kwa kustukiziwa mbn time ya kikwete mambo haya hayakuwepo

    ReplyDelete
  2. Lazima polisi wampime mkojo kwa sababu huyu jamaa mambo anayoongea ni ya kipuuzi hayapaswi kuongewa na mtu au mtanzania mwenye akili zake timamu inawezekana kabisa ikawa akili yake inatumwa na madawa ya kulevya mpaka kumpelekea kuongea pumba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We unahisi kaongea pumba?? Unaweza cite pumba tano tu unazoona TAL kaongea?

      Delete
  3. This is too much? What is too much from a guy with the reckless big mouth. He decided to pick up the fight with the authority from nothing but lies so let him face the fight he was looking for. He is one of the idiot clown i ever seen in my entire life.

    ReplyDelete
  4. Alishawahi kumwita muheshimiwa Kikwete ni raisi lege lege sasa amepata raisi machapa kazi asietaka mzaha na maslahi ya taiafa na wananchi wake sasa anamwita didkteta na kuahidi kuongaza mikakati kuhakikisha Magufuli anafeli katika harakati zake za kulitoa taifa hapa lilipo kwenye hali ya umasikini. Watanzania watu wa wahovyo sio polisi bali Lisu ilipaswa kukamatwa na wananchi kabla ya polisi kutokana na kauli zake za hovyo.

    ReplyDelete
  5. Alishawahi kumwita muheshimiwa Kikwete ni raisi lege lege sasa amepata raisi machapa kazi asietaka mzaha na maslahi ya taiafa na wananchi wake sasa anamwita didkteta na kuahidi kuongaza mikakati kuhakikisha Magufuli anafeli katika harakati zake za kulitoa taifa hapa lilipo kwenye hali ya umasikini. Watanzania watu wa wahovyo sio polisi bali Lisu ilipaswa kukamatwa na wananchi kabla ya polisi kutokana na kauli zake za hovyo.

    ReplyDelete
  6. Halafu anavyojifanya yeye ni wakili babkubwa utafikiri hizo sheria za nchi alizitunga yeye huyo mshamba anajifanya ana uchungu na nchi yetu wakati ni uongo mtupu ndani ya roho yake sera yake ni kujilimbikizia mali kama ataupata mwanya wa kuwa kiongozi inakera ile sauti yake anavyoongea yeye kila jambo ataitisha mkutano wa waandishi habari magumashu ili aipaze ile sauti yake inayokera ukiisikia masikioni mwako kusomea sheria ndiyo imekuwa nongwa bana kuna wana sheria wangapi katika Tanzania yote na wengine waliyosomea hiyo sheria kumpita yeye huyo kimbelembele na wapo kimya wanafanya kazi zao poa tu?Acha avune alichokipanda na kiherehere chake mshamba tokea Singidaĺ(Kweli masikini akipata na matako hulia mbwata )kuvaa hizo suti zako kwenye jua kali unajiona wewe ni babu kubwa ungeishia kuchunga mbuzi tu huko kwenu bush Singida

    ReplyDelete
  7. KWANI HUYU KIBARAKA SI MCHAGA?KULE SINGIDA KENDA KUGOMBEA UBUNGE TU NA NJAA ZAKE.BABA MAGU KAZA BUTI BABA-hapa kazi tu..MSWEKE HUYO MNAFIKI-kutoka rais lelge lege wa awamu ya nne -kawa kinyonga sasa Rais mkakamavu na mchapa kazi amebadilika tena km kinyonga nakumuita Dictator!!!!!huyu jamaa anashangaza sana dunia..

    ReplyDelete
  8. Tundu kisu ni kijana mdogo alie jaa upuuzi na kuharibika kifikra. na jinsi ilivyo inaashiria kwamba kama si mtumiaji basi anahitaji kitibiwa na kupata uchunguzi wa kina kuhusu afya yake ta kiakili na mwili. kinacho mpa hii Airtime ni kwamba yuko uraoani ambapo haipaswi. na tunaomba ashughulikiwe ipasavyo na ajijue daraja lake liko wapi. TUMESHA CHOKA NAE. muhifadhini panapostahiki. TANZANIA YETU NI YA WASTAARABU NA AMANI. UNAKUMBUKA RAISI WA UTURUKI TAYYIB ERDOGAN ALISEMA NINI KUHUSU SISI NA NCHI YETU? BASI VIJITU KAMA KISU WASITUHARIBU WALA KUTUHARIBIA. HAPA KAZI TU. ENDELEA BABA JPM. MUMGU AKULINDE NA UENDWLEE KUTUTUMIKIA.

    ReplyDelete
  9. tukaneni tu kesho anakuwa raisi wenu

    ReplyDelete

Top Post Ad