Bob Junior Azidi Kuchoshwa Atupa Dongo Jingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bob Junior Azidi Kuchoshwa  Atupa Dongo Jingine
Bob ambaye pia ni producer wa mziki katika studio za Sharobaro rekodi, amekuwa akifululiza kurusha makombola yake ambayo yanaashiria kumlenga mtu fulani kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo leo hii ameandika;

“HAAAHAHA!!! NGUVU YA MUNGU HAIZUILIKI USHAJIJUA KAMA KADOGO DOGO EEH…. NA BADOO KWA HAYA MAMBO YAKO YAKITOTO KAMA USEMAVYO BUT NAENDELEA KUFANYA AMBAYO NIMEUMBWA KUFANYA KAMA MUNGU ALINITUMA KWA WEMA KWAKO BASI ATANILIPA NINACHO STAHILI MAANA UMEZIDI KEJELI NA DHARAU SASA ANAE KUHUKUMU NDIO UTAKAE PAMBANA NA WEWE MR.KADOGO DOGO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 #GIVEME,

Hata hivyo bado haijabaanika kuwa mkali huyo ana mlenga nani ama anatafuta attention kwa watu ili aweze kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad