Breaking News: Waziri Lukuvi Awarudishia Watu 180 Viwanja Walivyozulumiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amefuta hati za viwanja 180 na kuvirejesha viwanja hivyo kwa wamiliki wake halali, waliokuwa wamedhulumiwa haki zao na viongozi wa ngazi mbalimbali serikalini, kwa kushirikiana na watu wenye fedha.

Waziri Lukuvi ameyazungumza hayo, leo, Agosti 2, ofisini kwake wakati akizungumza na waandishi wa habari, kuelezea matokeo ya oparesheni maalum za kushughulikia matatizo ya adrhi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.

Waziri Lukuvi amesema katika awamu ya kwanza, waliwasikiliza watu 200 wenye matatizo ya kudhulumiwa ardhi kwenye maeneo ya Kinondoni, Kibaha, Mkuranga na Bagamoyo, awamu ya pili ikahusisha wakazi 100 wa Temeke na Kigamboni huku awamu ya mwisho, ikiwahusisha watu 100 kutoka wilaya ya Ilala.

Waziri Lukuvi amesema katika kuwasikiliza watu hao, wamebaini kwamba kwa kipindi kirefu kulikuwa na mchezo wa wamiliki halali wa ardhi kutapeliwa viwanja vyao na viongozi wa ngazi mbalimbali serikalini, kwa kushirikiana na watu wenye fedha.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mUNGU KUWEKE LUKUVI. NA VYANGU DODOMA HUKO MIYUJI NA CHIDACHI. MIMESHAFIKA WIZARANI LAKINI WAKANIAMBIA MAMBO YOTE YATASHUGHULIKIWA NA MANISPAA BAADA YA KUIVUNJA CDA.. NATUA KAZI MNATUFANYIA NA MIKAKATI MKO KATIKA KUIPANGA. MUNGU AKULINDENI WOTW NA AWAPENI AFYA NJEMA. MTUTUMIKIE ZAIDI NA INAVYO STAHIKI. HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad