Dada wa Diamond, Esma Platnumz Atoa Tamko Kuhusu Mimba ya Hamisa Mobeto Kuhusishwa na Kaka yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Esma Platnumz ameandika haya kupitia ukurasa wa Instagarm

By @_esmaplatnumz - Hamisa Nirafiki yangu mzuri tu tunatembeleana na pia tunaalikana hata kwenye mashughuli masikini mwenyewe kajiamulia kujiongezea mtoto wake wa pili japo na misukosuko yote akanambia esma watoto ndio maisha yangu na familia yangu... lakini team wakayazua na yakuzua na kumpatia mababa kibao tumbo lake.. je hamfikirii hata hali yake jamani km sio mwanamke mwenzenu. Mi nachojua mwenyewe ndo anajua baba wa mtoto ni nani sisi hayo hayatuhusu. Tunachojua tunampenda basi alivyo ukimpenda mtu mpende km yeye tabia yake iache usiweke chuki au ukasababisha wengi wamchukie. Ifike mahali tuishi maisha yetu tuachane na uteam mi nampenda km yeye 😍
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Esma hamuwezi kuficha kama mzigo sio wenu, mnajiaibisha tuu.au manamdanganya kizee chenu

    ReplyDelete

Top Post Ad