Jackline Wolper Afunguka 'Nipo Tayari Kwenda Jela Aisee Ukinitukania Wazazi Wangu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jackline Wolper Afunguka 'Nipo Tayari Kwenda Jela Aisee Ukinitukania Wazazi Wangu'
Msanii wa filamu za bongo ambaye kwa sasa ni mjasiriamali mkubwa, Jackline Wolper, amekula kiapo cha kwenda jela iwapo mtu yeyote atamtolea maneno machafu mzazi wake.

Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Wolper amesema yeye kwa kawaida ni mpole lakini iwapo mtu atafanya kitu kibaya juu ya familia yake, hatofikiria mara mbili kumfanya kitu ambacho kitamsababishia kupelekwa jela.

Kwa mimi binafsi Jackline Wolper ni mpole, lakini ukija kwenye issue za wazazi mi nitaenda Segerea, ndiyo maana hujawahi kusikia Jackline Wolper kamuweka mama yake au baba yake kwenye instagram, kwenye Tv, yani sitaki wazazi wangu wahusike, nitukane mimi usitukane damu yangu, au usitukane mtu aliyenileta duniani, yani dakika sifuri nitapelekwa tu jela”, alisema Jackline Wolper.

Kumekuwa na tabia ya watu kwenye mitandao ya kijamii kutoleana maneno machafu mpaka kuwajumlisha na wazazi wa watu hao, kitu ambacho si kizuri kwenye jamii, kwani ni udhalilishaji wa watu wasio na hatia hususan wazazi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wazaramo wanasema zilongwa mbali na zitendwazo mbali Mungu akutangulie kuhusu jela uzisikie kwa maneno tu lakini isije ikawa kweli ukapewa jina jipya la mfungwa na jinsi ulivyo hivyo laini laini halafu upewe jembe kulega ukalime kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku weeee usiku kulala chini?Huoni mfano live wa hao wanaoitwa vigogo hali zao sasa jinsi zilivvyo? Na hao wapo rumande tu je vipi kama watakutwa na hatia kwenye mashtaka yao wakikutwa wana hatia halafu wahukumiwe kutumikia vifungo vyao jela watakuwaje?Binti endelea kula chips zege zako uraiani kwa amani hilo neno jela achana nalo maana hujui nini maana ya kuukosa uhuru wako uliyonao hivi sasa Mungu akulinde na akuongoze

    ReplyDelete
  2. wewe yakwako yankushinda unataka kuingilia ya watu safari sijui tukuiteje umepitwa na wakati hivo unamiaka mingapi 40 au 52

    ReplyDelete
  3. jackie mimi nakuona unazidi kunawiri.. tutafutane mdada. mie ni singo na weqe je? Barida mdada. nnangoja mtonyo Tena niko poa vizuri kabisa ila ulevi sitaki.

    ReplyDelete
  4. Thank you for the auspicious writeup. It in truth was a enjoyment account it. Glance complicated to more added agreeable from you! However, how can we communicate? gmail email login

    ReplyDelete
  5. Whether the variable minute rates are high or low depends for the status of this overall rate. canada mortgage calculator Actual loan payment amounts can vary and as illustrated do not include property tax, insurance premiums, utilities or common expenses. canadian mortgage calculator

    ReplyDelete

Top Post Ad