Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM , Humphrey Polepole Kuongea na Wana Habari leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni katika Ukumbi wa Ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lumumba jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8:00 mchana.

Ataongelea masuala mbalimbali yakiwemo ya maendeleo ya nchi na hali ya kisiasa. Aidha atazungumzia umuhimu wa Watanzania kuwa wamoja katika mambo yanayohusu maslahi ya taifa na kuepuakana na makundi ya watu ambao wanatumia nguvu na juhudi kubwa kuungana na wahujumu uchumi wa nchi yetu katika kutaka kudhoofisha kasi ya serikali kupamabana na hali hiyo.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad