Mange Amshukia Tena Wolper Baada ya Kuwaponda Wanaokatazwa Kupost Picha za Mabwana zao Mtandaoni..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Kimambi amefunguka haya kupitia Instagram yake:

#Regrann from #mangekimambi_ .
"Wolper haki ya Mungu una akili ka za teenager vile...... Sasa unajiona mjanja sababu eti unaruhusa ya kumposti Huyo mtoto?? Unajua Wolper haupo serious. Sasa hiko kitoto kinalala kwako kinakula kwako kinaanzia wapi kukataaa usikiposti??

Simple fact is wanaume wengi wa kitanzania wenye maisha mazuri Na kazi nzuri hawapendi kupostiwa hovyo especially na nyinyi mastaaaa ni hao wanaotomba bure ndo wanaokubaligi kupostiwa wakifanya uupuuzi.

Yule Mcongo tu mbona ulikuwa humposti mkifanya upuuzi.Ulikuwa unamposti mara moja moja tena picha za heshma, si ni sababu yule angalau alikuwa anapesa flani angalau anakusaidia.Hawa wanaume wooote ulioanza kujirusha nao akili mitandaoni ni vitoto ambavyo havikulishi havikuvishi sana sana vinalala kwako vinaamkia kwako hata ukitaka kuposti mkiwa uchi havitokataaa sababu vinakutegemea...

Nakupa challenge Wolper embu pata boyfriend mwenye pesa zake za maana Na maisha ya maana Alafu jaribu kumrusha mitandaoni mkilambana lambana, utawarushaga hao hao wanaoishi kwako
Tena usiwadanganye wenzio wenye mabwana wa maana Wawarushe mitandaoni. Hivi bado hamjajifunza kwa Zari, Diamond na Hamisa kuwa kupostiwa sio issue. Unaweza kupostiwa mitandaoni huku nyuma watu ndo kwanza wanazaaa watoto.

Jamani msiwaige kina AmberRose wale ni professional goldiggers hawatembei na wanaume maskini. Msimuone na hiko kitoto chenye rasta mkadhani kile kitoto kimechacha au kinaishi kwa AmberRose Kama hao Kina BFF wenu.21 Savage had a song at #23 on the billboard chart.His album ISSA debuted at #2 kwenye billboard 200 chart. He is going places.

Ila Wolper unajua kupenda aiseee, Mimi na upare huu Eti mwanaume wa kuja kulala kwangu, kuendesha gari yangu , Uwiiiiiiiiiii hata nyege hazipandiiiiiiiii ..Yani bora nife mwenyewe nije kulea watoto wa kina Kenzo kuliko niwe na mwanaume hana hela ana kazi ya kunitia tu na kuniambia I love you🤣. Yani hata akihema ntakuwa napata hasira....Haki nna allergy na wanaume wasio na hela. Siweziiiiii" Mange Kimambi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad