Mawakili Kesi ya Wema Wapinga Ushaidi wa Bangi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 





Mawakili Kesi ya Wema Wapinga Ushaidi wa Bangi
Wakili wa mrembo Wema Sepetu, Tundu Lissu  amepinga kupokelewa kwa kielelezo cha ushahidi wa msokoto mmoja na vipisi 2 vya bangi Mahakamani, vinavyodaiwa kukutwa nyumbani kwa Wema Sepetu.

Lissu amepinga kielelezo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya Wakili wa Serikali, Costantine Kakula kumuongoza shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka, Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima.

Aidha, Lissu amedai kuwa kielelezo cha ushahidi kisipokelewe kwa sababu ndani ya bahasha yenye ushahidi kuna vitu zaidi ya msokoto mmoja na vipisi viwili vinavyodaiwa kuwa ni bangi akisema vipisi 2 vyen
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani huyu kweli ni Wema? Au mazingaombwe? au alteresheni au... manake kama ndiyo mie ntaweka ndani huyu mtoto hata sunday manara hatoona ndani... utanitafuta au nikutafute?

    ReplyDelete

Top Post Ad