McGregor Amlaumu Refa Kumaliza Pambano Mapema ‘Angeacha Hadi mwisho’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kupokea kichapo leo asubuhi Mwanamasumbwi, Conor McGregor amedai kuwa refa aliyechezesha pambano hilo, Robert Byrd alifanya makosa kusimamisha mchezo huo dhidi ya Floyd Mayweather katika raundi ya kumi.


Bingwa huyo wa UFC alipigwa katika pambano lake la kwanza la kulipwa huku Floyd Mayweather akiimarisha rekodi yake ya kutopoteza pambano lolote kwa michezo 50 aliyocheza.

‘‘Niliona pambano tangia mwanzo tulikuwa sawa ingawaje niliyumba kidogo mwishoni kwani nilianza kuchoka, madhani Refa angeacha pambano liendelee na kumruhusu Mayweather kuniangusha, nilikuwa najua nilichokuwa nikifanya raundi mbili za mwisho nilitaka nione kama anaweza kuniangusha, Nilidhani ilikuwa mapema mno kwa refa kusimamisha pambano, Nilitaka kuendelea hadi raundi ya mwisho”,amesema McGregor kwenye mkutano na waandishi wa habari mapema baada ya kumalizika kwa pambano.

Hata hivyo, McGregor amesema atarudi kuendelea na mchezo wake wa UFC akikiri wazi kuwa mchezo wa Boxing ni mgumu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad