PAMBANA na Hali yako...."Not a Big Deal Kuwa na Kiserengeti"- Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya asiyeisha vituko Shilole amemtetea mwanaume wake mpya baada ya tuhuma za kutoka na serengeti boys.

Msanii Shilole.
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Shilole amesema kwa sasa yeye hana mahusiano na wanaume ambao amewazidi umri, kwani mpenzi wake wa sasa ni mwanaume halisi (gentle man) na amemfanya awe na mawazo ya kuwa mke.

"Mwanaume wangu wa sasa sio serengeti boys, ni gentle man, anajielewa na pia ni mtu mzima, ananifanya mpaka nifikirie kuolewa niwe mke, yaani sio serengeti boy kabisa, na pia hataki kabisa mambo ya mitandao na ndio maana simuweki wazi", alisema Shilole.

Hata hivyo Shilole ambaye leo ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kigori', amewatetea watu ambao wana mahusiano na wanaume wanaowazidi umri (serengeti boys) na kusema siyo kitu cha ajabu kwani umri ni namba tu, kinachomata ni mapenzi.

"Kwani kitu gani...!! age is just a number, watu wanaangalia mapenzi bwana so its not a big deal kuwa na kiserengeti", alisema Shilole.

Hapo nyuma Shilole alishawahi kukumbwa na sakata la kuwa na mahusiano na wanaume wenye umri mdogo (serengeti boys) akiwemo aliyekuwa mpenzi wake Nuhu Mziwanda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani kama huyo mwanamme ulionae akikuzingua basi mm nipe miezi miwili tu nikupige ndoa mm ni mtu wa kwenu igunga

    ReplyDelete

Top Post Ad