'Qeen Of Maasai' ya Rich Kutoa Fundisho kwa Jamii Namna Mwanamke Anaweza Kubadirisha Jamii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 .
'Qeen Of Maasai' ya Rich Kutoa Fundisho kwa Jamii Namna Mwanamke Anaweza Kubadirisha Jamii
Msanii mkongwe katika filamu Bongo, Single Mtambalike ‘Rich’ yupo mbioni kuachia kazi yake ya Queen of Maasai mwanzoni mwa Septemba ambayo anaonyesha jinsi gani msichana anaweza kubadili maisha ya jamii yake.

 Rich alisema waigizaji wengi wanakimbilia kutengeneza filamu za kimapenzi, lakini yeye kama mkongwe, ameamua kuonyesha jinsi msichana mdogo anavyoweza kubadili maisha ya jamii yake kama akipata fursa na kujielewa.

“Hii ni filamu iliyochezwa umasaini, inaonyesha jinsi msichana wa kimasai anavyoweza kubadili maisha ya jamii yake. Tumezoea wamasai ni wafu-gaji, wasi-ojali elimu, lakini katika filamu hii inaonyesha mageuzi katika jamii yanaweza kufanywa na msichana, tofauti na fikra za wengi kuwa wanaume ndiyo wa kubadili mambo,” alisema Rich ambaye ni mmoja wa waigizaji mahiri nchini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad