Rais MUGABE Kweli Dikteta...Aamuru Siku ya Kuzaliwa Kwake Iwe ni Sherehe ya Kitaifa Nchi Nzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwa siku ya kuzaliwa Rais Robert Mugabe ambayo ni 21 February itaadhimishwa kama sikukuu ya kitaifa.

Tangazo hilo limetolewa August 18, 2017 na Waziri wa Mambo ya Ndani Dr. Ignatius Chombo akisema hilo ni kwa ajili ya heshima ya Rais Mugabe ambaye ameiongoza Zimbabwe tangu ilipopata Uhuru.

Siku hiyo itaitwa ‘Robert Gabriel Mugabe National Youth Day’.

Mbali na heshima hiyo, Miji na Majiji mengi ya Zimbabwe ina barabara zilizopewa jina lake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad