SABABU ya Jacqueline Wolper Kuja na App yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Filamu Bongo Jacqueline Wolper ameeleza sababu za yeye kuamua kuja na App.

Wolper atakuwa msanii wa pili kutoka katika tasnia ya filamu kufanya hivyo baada ya Wema Sepetu. Akipiga stori na Social Buzz ya Clouds Tv Wolper amesema moja ya sababu ni kuwa karibu na mashabiki zake na kuwaepusha kupata taarifa za uongo kuhusu yeye.

“Yeah ni kweli nataka kuja na App yangu na sababu kubwa ambayo imenifanya niwe na App ni kwa sababu mashabiki wengi wanatamanigi kujua vitu vyetu kwa undani kwa sababu wanakutana na facebook fake, wanakutana na mastori fake kwa hiyo ukiwa na App ni kitu kikubwa zaidi kuwaweka mashabiki zako karibu,” alisema Wolper.

Pia ameongeza kuwa
“Kuchart nao kuwajibu maswali yao na chochote ambacho wanakisikia wewe unawanyooshea maelezo”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kazi kuiga tu fulani kafanya na mimi nifanye wewe utabaki kuwa wewe tumechoka bwana ukijamba tayari hee imekuwa sheshe kaanza wema na wengine tumo sasa angalau mweze msomi anaelewa vitu hivo apps sijui nini ww mwenzangu na mie upo upo tu haya tunasubiri cha wivu

    ReplyDelete

Top Post Ad