TANZIA: Klabu ya Maisha Basement Yapata Pigo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TANZIA: Klabu ya Maisha Basement Yapata Pigo
UONGOZI wa E-Master Entertainment unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi  wa0 aliyekuwa Meneja wa Matukio katika klabu ya Maisha Basement, Robert Mshale @robertmshale .
Mtandao huu ulifanya mahojiano na Meneja wa burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu ‘HK’ alisema: “Robert alikuwa mzima kabisa wa afya kwa kumuangalia, sijui sasa kama alikuwa ana tatizo la kiafya lakini siku ya jana  alipolala kifo kikamkuta akiwa usingizini na wala hakuamka tena.

Mwili wa marehemu Robert umehifadhiwa katika Hospitali ya Lugalo, na msiba uko nyumbani kwa mama yake karibu na geti la kuingilia Chuo cha Aridhi jijini Dar.
Mungu alaze roho yake mahala pema peponi amen.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad