Zitto: Sasa Mlitaka Lissu Akahoji Matumizi Mabaya ya Rais Chooni, Shimoni au Chumbani au Kazi ya Mbunge ni Nini?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zitto: Sasa Mlitaka Lissu Akahoji Matumizi Mabaya ya Rais Chooni, Shimoni au Chumbani au Kazi ya Mbunge ni Nini?
Ziito Kabwe Kupitia Facebook Ameandika:

Bei ya Ndege moja aina ya Bombadier Q400 ambazo Tanzania ina/menunua ni USD 31m. Deni tunalodaiwa pamoja na riba ambalo Serikali imekiri na kuahidi kulipa ni USD 37m.

Hivyo Serikali yetu ingeweza kununua Ndege nyengine mpya iwapo ingeshughulikia vema kesi ya kampuni iliyoshikilia Ndege yetu. Hasara za namna hii ndio hurudisha nyuma Serikali za Afrika kwenye juhudi za Maendeleo.

Jambo la kushangaza ni pale Mbunge mwenye mamlaka ya Kikatiba kuihoji Serikali anapotimiza wajibu wake anakamatwa na kushtakiwa Kwa ' kutaja makosa ya Rais hadharani '. Sasa Mbunge ataje makosa ya Rais chooni? Chumbani? Shimoni? Mbunge wa Upinzani ni lazima ataje HADHARANI makosa ya Kiongozi wa Serikali ya Chama kinachoongoza dola.

Kazi ya Upinzani ni kuhoji. Ni kazi ya kimantiki na ya kikatiba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sahihi.Uongozi wetu ni wa kubabaishia tu.

    ReplyDelete
  2. Zito kabwe kumsapoti Tundu Lisu alichokisema ni sawa na shetani kusimamia kesi ya Iblisi .

    ReplyDelete
  3. Mimi nnavyo mjua Zotto na tundu bovu hawapikwi chingu kimoja..KULIKONI?

    ReplyDelete
  4. SI NASIKIA ALIUZA VIWANJA KIGAMBONI NA SSNF NA ECROWS AKATIA NDANI.
    PIA ULIKUWA MGAO ULEEE. SETHMALILA

    ReplyDelete

Top Post Ad