BREAKING NEWS: Kijana wa Miaka 18 Aliyekamatwa Kwa Tuhuma ya Utekaji na Uuaji wa Watoto Arusha Afariki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BREAKING NEWS: Kijana wa Miaka 18 Aliyekamatwa Kwa Tuhuma ya Utekaji na Uuaji wa Watoto Arusha Afariki
Mtuhumiwa wa utekaji watoto Arusha, Samson Peter  amefariki kwa kupigwa risasi akijaribu kuwakimbia polisi, leo jijini Arusha.

Samson Peter alikamatwa usiku wa tarehe 2, mwezi huu baada ya timu maalumu ya Polisi ya askari tisa, watano kutoka Arusha wakiongozwa na Mkaguzi wa Polisi Amani na wa Geita askari wanne wakiongozwa na Mkaguzi wa Polisi, James, kuizingira nyumba ya wageni aliyokuwa amejificha mtuhumiwa na mtoto aliyemteka tangu Septemba Mosi.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad