Chuchu Bado Mbichi Licha ya Kujifungua- Ray Kigosi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chuchu Bado  Mbichi Licha ya Kujifungua- Ray Kigosi
Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kumpa sifa mzazi mwenzake Chuchu Hansy ambaye jana alikuwa anasherekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kuwa bado ni mbichi licha ya kujifungua siku za karibuni.

Ray Kigosi amesema hayo kupitia mtandao wake wa Instagram na kusema licha ya mrembo wake huyo kujifungua lakini hajabadilika kama ambavyo huenda alikuwa akidhani labda akipata mtoto anaweza kuharibika na kupoteza muonekano wake.

"Mzungu wangu bado mbichi utafikiri ujajifungua juzi kweli kujifungua siyo kuzeeka 'Happy birthday to you mama Jaden Chuchu Hans" aliandika Ray Kigosi
Aidha Ray Kigosi ametumia siku hiyo ya kuzaliwa kwa mzazi mwenzake kumshukuru kwa kuweza kumpa heshima na kumbadili jina na sasa kuitwa baba

"Asante sana kwa kuwa mama bora kabisa kwa mwenetu Jaden hakika hakuna wa kufanana na wewe nina mengi sana ya kukwambia ila wacha leo kwenye siku yako ya kuzaliwa nikwambie haya machache nakupenda, nakuthamini na kukujali. Pia nitakuwa nafanya kosa kubwa kama sitomshukuru Mungu kwa kunizalia mtoto mzuri na kunipa heshima kubwa ya kuitwa baba"  aliandika Ray Kigosi


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad