Dada wa Diamond Esma Afunguka Kuhusu Zari 'Watu Hawajui Thamani yako Kwa Diamond'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hawajui thamani yako kwa Naseeb walimtenda wengi mpk kufikia kudharauliwa majina kibao wakampa Mungu akakushusha, akakuvuta mbali ulipo ili umfute machozi ambayo siku zote alikuwa anatamani aje mtu amfute... ulimpa furaha na akili ya kuogopa nisitumie sana nikiweke akiba ili wanangu wawe ktk maisha mazuri na familia yangu... ulimpa nguvu ya kupambana usiku na mchana yote kwa ajili yenu... Mwanamke unayejua thamani ya Mwanaume uko mbali lakini pindi urudipo unahakikisha anakula nini anavaa nini na analala sehemu safi na salama tena kwa mikono yako huo ndo uanamke mwanamke... WE LOVE YOU MAMA TEE TUNAJUA THAMANI YAKO KWETU PLZ

Happy birthday to you love ❤
Najua wengi wanataka nafasi yako ila hawawezi kuipata Mama tee utaendelea kuw mama tee hakuna kama ww GENERAL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unafiki mwingine hauna thamani, kujipendekeza koote kwa Hamisa, leo umegeuza gia huku mnamngonga kisogo! naona Zari kashawastukia.

    ReplyDelete
  2. MTAKA YOTE HUKOSA YOOTE, BI KIZEE KAKAZA.

    ReplyDelete
  3. Ww Esma baada kupiga kampini mdogo wako aowe ww ndo kwanza unashadidia Zina kashushwa wapi au kaletwa kuja kufanya uzinifu aliktoka ktk dini ya kiislamu na kuingia dini ya kiikristo kwa kufuata bwana swali Jee saivi ataolewa kwa dini gani Waislamu tunajua sheria inasema mtu akirtadi hawezi kurudi ktk uislamu na hukumu yake ni kifo Jamani masheikh usifumbie macho jambo kama hili

    ReplyDelete
  4. bi kizee anabembeleza in direct ana ki sebusebu na daimondi anataka hela za bi kizee somehow yuko tayari kuramba hata mkojo wa zari maskini wee mumebaki kumsifia kila mafanikio ya mwanaume yeyote behind huwa ni mwanamke sio bi ajuza tuu so wacheni kuji dhalilisha

    ReplyDelete
  5. we zari huna haya unajiuza dhahiri maana huku nu kujiuza na hao matahira ni mapany wanauma huku wanapuliza wanakuchezea shere na maneno mazuri they are cheating you for your information hamisa yuko close very close na wao na mahusiano na daimond hawa kuamza sasa its long time mama na dada wa daimond hawakupendi kila mtu anajua na wewe pia unajua bibi kaa ulee watt wako tafuta mwanaume mwenye umri Kukupita wewe akulee akuoe na mapenzi wasikudanganye wewe si mjanja haya tumia akili yako dont be so cheap

    ReplyDelete
  6. Nyie. Ni kweli ameongea ukweli mtupu. wabongo wana maneno jamani. Huyu Mondi huko nyuma si ndio hao hao wanawake wa kibongo Walikuwa mara waseme Mondi hazai. mara azae na nani? mtu mwenyewe mbaya aba domo. Maneno kibao. Huyo Latifa mwenyewe alipozaliwa midomo basi mara sio mtoto wake ndomo hana kizazi. Mara mtoto wa katunzi. Mara hoooo baada ya kuona Latifa anafanana na Dai mwenyewe midomo yoye kimya. Mmmmm

    ReplyDelete
  7. hapa hayakuja ya watt na kuzaa na kuto kuzaa mungu kamjalia kapata watt mungu amueke awatunze vyema but suali ni hao watt wa zinaa sio wa ndoa mbn munapigia vigelegele mambo yalio haramishwa kama kweli afunge ndoa watabaki kuvalishana mapete a vishindo visivukuwa na maana daimond ni wa wote kwa sasa hivi akisha owa hapo sasa inategemea na yeye mwenyewe lakini huyu ni mwanaume malaya ameshazoea leo kesho yule umaarufi unawasumbua

    ReplyDelete
  8. zari mwenyewe anamtaka daimond huoni anavo jizuzua na mapicha mara kavaa kihindi mara kava jeans na make up kama unataka mikono yake iko wazi kukupokea kitu kimoja kibacho shangaza hivo we ni mama wa watt 5 wengine wakubwa kabisa jama si utulie kama kuvurugwa vurugwa na mwanaume asitulia

    ReplyDelete
  9. WEWE UMESEMA KWELI ESMA. WENGI WANATAMANI SANA NAFASI YAKO ZARI. WEWE UMESHAWAPIGA BAO USIWAPE NAFASI. WATASEMA SANA MCHANA USIKU WATALALA. IPE ROHO YAKO KITU INAPENDA. WATAJIJU!!!!

    ReplyDelete
  10. labda wewe mmoja wao lakini mwanamke mwenye heshima yake i dont think so kazidi nini ni huyo bi kizee asiekubali kushindwa tuliambia kigoma hatoki boi sasa imekuwaje? wanahaha kama hawajawahi kuona mwanamke hee ukikwa na hela bwana utaitwa bwana haya yetu ni macho lenye mwanzo lina ........

    ReplyDelete

Top Post Ad