Diamond “Nilimpa Hamisa Mobetto Laki 5 Kila Wiki Kwa Ajili ya Mtoto”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz leo amehojiwa na LEO TENA ya CLOUDS FM Dar es salaam na kueleza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Mtoto wa Hamisa na amekiri kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na alikuwa akimpatia laki tano kila wiki.

VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanawake mnao-spleed your legs kwa huyu mdhalilishaji nawadharau sana.
    kwani ilikuwa lazima utaje figures? mbona mlipokuwa mkifanya hukuja kutuambia?
    mfyuuuuu

    i love your music, but i hate when you don't respect women.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ALICHOFANYA DIAMOND NI SAHIHI KABISA KWANI KASEMWA SANA KUWA HAMTUNZI MTOTO. NAYE HAMISA HAJUI KULA NA KIPOFU. KAMSHIKA MKONO!!!

      Delete
  2. kasemwa si kataka mwenyewe kusemwa utamkanaje mtoto wako na isitoshe zari si alisema kuwa kamuuliza hundred thousand daimondi akamjibu kuwa mtoto sio wake na tukamsikia zari akiongea na one if the media uganda kuwa mtoto wa mobeto sio mtiti wa daimondi so kama kusemwa kataka mwenyewe na kujisifu anapenda sana tabia mbaya you daimond you have to stop it majisifu unachukiza Aaliekupa ni Mungu so just mshukuru na mtoto ni wako niwajibu wako kimuangalia

    ReplyDelete

Top Post Ad