Hamisa Mobeto Ashauriwa Kupigania Ndoa Kuwa Mke wa Pili Kwa Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amemtaka mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobetto kupigania ndoa kwa Mbongo Fleva aliyezaa naye, sababu dini yake inamruhusu kuwa mke wa pili.


Akipiga stori na Star Mix, Sabby alisema kuwa, pamoja na yote yaliyotokea ni vyema mwanadada huyo asivunjike moyo kama bado anamuhitaji mzazi mwenziye huyo, licha ya kuonekana ameelemea kumuhitaji Zarinah Hassan `Zari Boss Lady’ anapaswa kukomaa hadi ndoa ifungwe.

“Namshauri Hamisa asikubali kirahisi kumkosa baba wa mtoto wake, kama vipi huyo jamaa awaoe wote wawili Zari mke mkubwa na Hamisa mke mdogo maana dini imeridhia wake hadi wanne,”alisema Sabby.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwanamke hawezi kulazimisha ndoa labda mwanaume mwenyewe apende, kwa hiyo ushauri siyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad