Je Unajua Kuna Bifu Kati ya Wanamuziki Nandy na Ruby...Nandy Aamua Kufungua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nandi Akanusha Bifu Lake na Ruby
MSANII wa Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa, japo watu wengi wamekuwa wakijadili kuhusu ukaribu wake na msanii wa zamani zao la Jumba la Kuibua Vipaji (THT), Ruby kwa madai kuwa kwa sasa hawapikiki chungu kimoja kutokana na ushindani uliopo baina yao, ishu hiyo si kweli kwani hana bifu na mwanadada huyo.

Nandy aliiambia Over Ze Weekend kuwa, anawashangaa wanavyosema hapatani na Ruby kwa madai kuwa anachukiwa kwa sababu amemfunika mwenzake kimuziki.

Ukiniuliza mimi na Ruby nani anaimba vizuri, nitakujibu wote, yeye ana muziki wake nami nina wangu, sina ugomvi wala mazoea naye ila tukukutana tunasalimiana tu kama washikaji,” alisema.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad