Kamusoko Aondolewa Kwenye Kikosi cha Yanga Kitakachooneshana Ubabe na Majimaji Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamusoko Aondolewa Kwenye Kikosi cha Yanga Kitakachooneshana Ubabe na Majimaji Leo
Nahodha wa Yanga, Thaban Kamusoko ameondolewa kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza na Majimaji leo huku Mzambia, Obrey Chirwa akianza mechi yake ya kwanza msimu huu.

Kamusoko aliumia kwenye mchezo dhidi ya Njombe Mji lakini alifanya mazoezi hadi Jana Ijumaa lakini Daktari wa Yanga, Edward Bavu ameona ni vyema akapumzishwa.

Kwa upande wa Chirwa, ameingia kwenye kikosi cha kwanza leo baada ya kupata dakika chache kwenye mchezo uliopita.

Katika hatua nyingine, Geofrey Mwashiuya na Raphael Daudi wameingia kwenye kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza msimu huu.

Daudi aliingia akitokea benchi katika mechi mbili za mwanzo lakini leo ameanza badala ya Kamusoko.

Yanga itavaana na Majimaji leo saa 10 jioni na tayari mashabiki wameanza kuingia uwanjani.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad