Kenya Wapiga Kura Kati ya Seduce na Zilipendwa Ipi Kali....Hili Ndio Jibu Lao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uchaguzi mdogo uko Kenya ulifanyika kati ya nyimbo mbili zinazobamba hapa bongo za vigogo wa muziki.
Asilimia tatu(3) kama uonavyo matokeo jinsi ulivyokawa,wanasema hawafungamani na pande zozote.

Zilipendwa Imepata Asilimia 77 hivyo ndio nyimbo inayopendwa zaidi kenya kuliko Seduce

Toa maoni yako ni kweli inaweza ikawa hivyo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I DON'T VOTE AN ARTIST I VOTE FOR THE BEST SONG.ZILIPENDWA HABARI YA MJINI.

    ReplyDelete
  2. HAMNA LOLOTE HUYO DOMI AKUBALI KUSHINDWA HAMNA WAKENYA WSLA WAGANDA PANDA UKISHUKA KING WILL REMAIN KING KYWA RIJALU WACHA MAMBO YA KINA DADA KUJIFANANISHA NA KUJILINGANISHA ALI KIBA TUMESHA MVISHA HE IS UR KING

    ReplyDelete
  3. ndio hata mie nasema sio sahihi hata kidogo siwe wakenya tumeupenda sana seduce me wa Ali kiba hao wanao edit na kuongea uwongo ai iweje hapana Ali Kiba is a King bwana big up King Kiba 100% upo juu kabisa huyo daimond muache ageuke awe shaba

    ReplyDelete
  4. mwanaume kutaja ceduce me a copy from phillipians ni upumbavu ,zilipendwa hata kongo tunautambua

    ReplyDelete

Top Post Ad