Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wakazi wa bonde la mto Msimbazi waliokuwa wakipinga kubomolewa makazi yao, na kuwakamata watu takriban 20 wakihusika kufanya vurugu hizo.

Tukio hilo limetokea Septemba 20, 2017  kwenye bomoabomoa ambayo inatekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, yenye lengo la kuandaa eneo ili kupisha mradi mkubwa wa majitaka katika manispaa hiyo.
Wakazi wa eneo hilo wamelalamikia zoezi hilo na kuiomba serikali kuwaonea huruma kwani hawana mahali pengine kwa kwenda kujisitiri.                      
Pamoja na hayo pia eneo hilo la Jangwani lilishapigwa marufuku kwa wananchi kujengwa makazi, kwani ni eneo hatarishi kutokana na kuwa kwenye mkondo wa mto Msimbazi ambao nyakati za masika hufurika.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad