Mrembo Gigy Money Aumbuka..Adanganya Vibaya Gharama za Nguo Alizovaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo Gigy Money Aumbuka..Adanganya Vibaya Gharama za Nguo Alizovaa
MUUZA nyago matata ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameumbuka baada ya kufanya mahojiano na runinga moja akisema kuwa, mavazi aliyovaa yalimgharimu shilingi milioni moja na laki tano kisha wajuzi wa mambo wakamuumbua.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda juu ya ishu hiyo ambayo ilizua mjadala mzito, mmoja wa vyanzo makini alisema kuwa, hata viatu alivyovaa alidai kuwa vya shilingi laki mbili lakini ukweli ni kwamba vinauzwa shilingi elfu thelathini.

Kwa upande wake Gigy aliliambia gazeti hili kuwa, anawashangaa wanaojadili suala hilo kwa sababu yeye ndiye anayejua ukweli.

Mimi ndiye mnunuzi, watu wanapaswa kukumbuka tu kila kitu kina bei tofauti kutokana na muuzaji na sehemu kinapouzwa,” alisema Gigy.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad