Neno la Ali Kiba kwa Mashabiki Wake Baada ya Kufikisha Watazamaji Zaidi ya Milioni 4 Ndani ya Siku Kumi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Neno la Ali Kiba kwa Mashabiki Wake Baada ya Kumfikisha Watazamaji Zaidi ya Milioni 4 Ndani ya Siku Kumi
Msanii Alikiba ambaye sasa anatamba na ngoma yake mpya 'Seduce me' amefunguka na kuwapa neno la pongezi mashabiki zake baada ya kuiwezesha ngoma yake hiyo mpya kufikisha watazamaji zaidi ya milioni nne ndani ya siku 10.

Alikiba ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwashakuru mashabiki zake na kuendelea kuifanya ngoma hiyo kushika nafasi ya kwanza katika video ambazo zinafanya vizuri Tanzania toka ilipotoka Agosti 25, 2017 na kushuka kwa nafasi moja kwa masaa kadha na baadaye kurejea katika nafasi ya kwanza mpaka sasa.

"Seduce Me imefikisha watazamaji milioni 4 ndani ya siku 10 na bado inaendelea kushika nafasi ya kwanza kwa video zinazo 'trend' Tanzania, nawakubali wote na kuwathamini lakini pia nawapenda sana Tanzania" aliandika Alikiba

Unaweza kuendelea kuburudika na wimbo huu mpya wa Alikiba 'Seduce Me'


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwakweli mimi sio mshabiki ama Ali Kiba (King Kiba) au Diamond Platinum (Dongote) lkn kuna kitu Napata wasi wasi kufahamu huu nyimbo ya Seduce me hakifahamiki kinachoibwa hasa kwa asilimia kubwa ya watanzania , haina mashairi mazuri hata kidogo.
    Mie ninachooamini kuwa asilimia kubwa ya waTanzania wanafata mkumbo na kuchoshwa na Diamond kwa kiasi Fulani au kutopendezwa na mafanikio yake. lakini ukweli hata kama mnauma Diamond ni mwanamuziki mwenye mashairi mazuri na muziki mzuri kwa Tanzania.
    Nawasilisha.

    ReplyDelete
  2. Zilipendwa hizo Utapasuliwa kichwa Mkuu. Alikiba aka Pasua kichwa ndo habari ya mjini.

    ReplyDelete
  3. huyo anony15.54 kakumbuka shuka asubuhi. mfate Dai basi akupe karanga za kuazima uanzie mtaji angalao na wewe ufate mkumbo.

    ReplyDelete
  4. Wewe una jiita huna Team ulivyo kuwa una cheza Raga mafin na nyimbo za Kina kofi olomide ulikuwa unaelewa mashairi yake,,,mpaka hapo kwa sentensi zako we timu Madale huna lolote Na Matusi na Maneno ya nyodo ndio zenu,,, Uelewe usielewe ndio kasha honga view Milion4 upooo nyonyooooo!!!!!na kuwaona wa Tanzania wana fuata Mkumbo wakati na wewe mmoja wapo labda utwambie kama wewe Mrundi sio Mtz

    ReplyDelete

Top Post Ad