AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni ambapo amesema Zitto Kabwe hawezi na hapaswi kujibizana naye, na kumtaka Zitto Kabwe kutomfananisha na aliyekuwa Spika wa Bunge marehemu Samuel Sitta, kwani hawezi kufanana naye na kila mtu ana muda wake, kama ambavyo Spika wa bunge aliyepita mama Anna Makinda alivyokuwa na muda wake kuliongoza bunge hilo.
Hapo jana Spika Ndugai alimtaka Zitto Kabwe kufika kwenye kamati ya maadili kutoa maelezo juu ya taarifa alizoziweka kwenye mtandao, na Zitto Kabwe kumjibu kuwa mambo anayoyafanya Spika yanaporomosha bunge
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
viongozi tujenge uvumilivu. hakuna haja ya kuonyeshana kwani mwisho wa siku we ni kiongozi tu. dhamana uliyoibeba ni zaidi ya kulumbana wa watu wko wa chini.
ReplyDeleteZitto hajiheshimu ni kijana anaetaka kuwakosea heshima watu wazima.
ReplyDeletena isitoshe anatafuta ajira toka ...
Mchongo wake tunaujua na uwezo wake kiakili tunaujua.
na isitoshe Matatizo yake ya KIAKILI pia tunayajua.
kwa ufupi huyu kwa kujulikana Uhalisia wake. kwa sasa TUNAMUONA ALIVYO