Niyonzima Yupo Fiti Katika Mpambano wa Kesho Dhidi ya Majimaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Niyonzima Yupo Fiti Katika Mpambano wa Kesho Dhidi ya Majimaji
Mshambuliaji wa Simba Haruna Niyonzima amefanya mazoezi na kikosi cha Simba kwenye Uwanja wa Kirumba leo Jumatano kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Mbao FC.

Niyonzima hakuweza kucheza mechi iliyopita dhidi ya Mwadui iliyofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kutokana na kuwa majeruhi.

Wachezaji wengine wawili watakaokosa mchezo wa kesho ni Shomari Kapombe na Said Mohammed Nduda pamoja na Bukabu Bundara ambaye ana matatizo yake binafsi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad