Pesa Kitu Kingine Aisee...Bondia Floyd Mayweather Amethibitisha Kuwa na Wapenzi Saba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bondia Floyd Mayweather ambaye kwa sasa anafurahia kwa kufanikiwa kulinda rekodi yake ya kutopoteza pambano hata moja katika mapambano yake 50 baada ya kufanikiwa kumpiga Bondia Mc Gregor kwa Technical Knock Out (TKO) round ya 10 katika pambani la round 12.

Mayweather ameripotiwa na mtandao wa dailymail.co.uk kuwa pambano lake na Mc Gregor ndio pambano lake la mwisho na ameamua kustaafu mchezo wa ngumi, japokuwa kuna watu wanaweza kufikiria kuwa atarudi tena ulingoni.

Hata hivyo Mayweather katika interview hiyo amethibitisha kuwa na wasichana saba katika mahusiano ya kimapenzi kwa sababu kuwa na msichana mmoja ni sawa na kuwa hauna kabisa.

Nina wasichana wangapi? kama saba hivi ambao tunatoka out kwenda kula na wengine nasafiri nao kuwa nae mmoja pekee karibu ni sawa na kuwa hauna kabisa" Floyd Mayweather
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad