Tunda Afunguka Kuhusu Nyumba Inayodaiwa Kaipata Kwa Kuuza Madawa ya Kulevya.........

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo Tunda ambaye ni 'video vixen', amefunguka kuhusu tetesi zilizopo kwamba nyumba anayomiliki imetokana na kufanya biashara ya dawa ya kulevya, na kusema hizo taarifa hazina ukweli wowote juu ya madai hayo.

Akipiga stori na Big Chawa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Tunda  amekiri kumiliki mjengo huo na kusema siyo kweli kwamba nyumba hiyo imetokana na kuuza dawa za kulevya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad