AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na kusema anashukuru sana kuona anapenda kazi zake na kumpa nguvu katika kazi zake hizo kwa kutoa 'support'.
"Ni kama shabiki wangu na 'appreciate' anapenda muziki wangu kwa sababu mimi namuheshimu kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anani 'support' kwenye kazi zangu lakini pia kutokana na uhuru hivyo kila mtu ana haki na vilevile mimi nina haki ya kupendwa na mtu yoyote yule, hivyo nina haki ya kupendwa na Mange Kimambi pia" alisema Alikiba
Mbali na hilo Alikiba alisema anajisikia vizuri kuona muziki wake unazidi kufika mbali zaidi duniani na kuendelea kufanya vizuri nyumbani Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla.
"Najisikia furaha zaidi pale napoona watu wanaojulikana na maarufu nao wanafurahi na muziki wangu na si kusikia muziki tu bali ni mashabiki wangu pia, hivyo kwangu mimi ni raha sana, nawapenda sana mashabiki zangu wote duniani kwani nyinyi mnanipa furaha na amani" alisema Alikiba
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
keep it up Kiba why usipendwe kiumbe hujui ujeuri una heshima kwa mdogo na mkubwa madharau kwako hakuna. Mange kimamabi haoendi uonevu even me i admire Mange kimamabi she is the best msema ukweli aiways
ReplyDeletekeep it up Kiba why usipendwe kiumbe hujui ujeuri una heshima kwa mdogo na mkubwa madharau kwako hakuna. Mange kimamabi haoendi uonevu even me i admire Mange kimamabi she is the best msema ukweli aiways
ReplyDelete