Hivi Ndivyo Hamormonize Alivyofumguka Kuhusu Kuhama WCB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi Ndivyo Hamormonize Alivyofumguka Kuhusu Kuhama WCB
Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize amejibu iwepo anaweza kuondoka katika label hiyo.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Shulula’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa hawezi kufanya hivyo kwa sasa.

“Hapana kwa sababu unapozungumzia Harmonize inaizungumzia WCB, so bila WCB hakuna Harmonize, yaani kama baba kama mama” amesema Harmonize.

Alipoulizwa ni msanii yupi anamkubali katika label hiyo alijibu, “ndani ya WCB nawakubali wote kwa sababu kikubwa kila msanii unayemuona pale hajaja kwa bahati, kila mtu ana kipaji japokuwa wanatofautiana”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad