Jerry Muno Aliamsha Dude Awaponda Viongozi wa Chadema Amtaka Lema Kuacha Kujitekenya na Kucheka Mwenyewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jerry Muno Aliamsha Dude Awaponda Viongozi wa Chadema Amtaka Lema Kuacha Kujitekenya na Kucheka Mwenyewe
KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia aliwahi kuwa Msemaji wa klabu ya yanga, Jerry Muro ameibuka na kuwaponda viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akiwataka waache porojo na badala yake wajikite katika kuwaletea maendeleo wananchi wao.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Muro amewataka viongozi wa Chadema wanaodai kuwa wanafuatiliwe na watu ili wauawe, waseme wanafuatiliwa na akina nani?
“Nimemsikia baadhi ya wabunge wa Chadema wakisema kuna watu wanawafuatilia, dada yangu kule Bunda (Ester Bulaya) akisema anafuatiliwa na watu waliovaa kininja, nani awafuatilie nyie? Kwani mmeiba makinikia?

“Lema naye anasema wamefungua nati za gari lake, pia anadai akiwa kwenye mwendokasi aliona watu wanamfuatilia akaruka kwenye gari akamwachia usukani mkewe, hivi kweli gari lipo kwenye mwendokasi unarukaje kichakani? Acheni maigizo jamani…” Nani akutafute wewe Lema? Mbona husemi wakati ukiwa na nywele za rasta ulikuwa unafanya nini kabla ya kuwa mbunge? alihoji Muro.
Ajibu kuhusu suala la madiwani wa Chadema Arusha waliohamia CCM, Muro amewataka Lema na Joshua Nassari waache kutembea na flshi (walizowasilisha TAKUKURU  kwa ajili ya uchunguzi) akidai kuwa hizo ni propaganda.

“Wakati Lema anazungumza na flashi Dar Es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo anahangaikia miradi ya maji na barabara kwa wananchi wake. Mimi namjua Lema tangu zamani, nimetoka naye Machame, aache kupambana na mimi Muro badala yake afanye maendeleo kwa wananchi wake.” alisema Muro.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wacha uhanith jerry muro. kama unamjua LEMA toka zamani mbona husemi alivyo kutatua marinda. na sasa hivi eti na wewe umekuwa basha wa Bashite na Le mutuz..

    ReplyDelete
  2. alianza le madolezz kujipendekeza kwa Magu. kaona hana jipya sasa tom jerr. anafikiri akiwaponda kina Lema atapewa ubunge au ndo kuongeza speed ya kupendwa na bashite.

    ReplyDelete
  3. kajambe kuleeee. mbele huchezi nyuma hutingishiki. hujaliwa kiboga siku nyingi. Hayawaani kmubwa!

    ReplyDelete
  4. Mlietoa maoni hapo juu nyote ni wacenge wa akili na hapana shaka hata kidogo ni wacenge mubashara wa makalio yenu vile vile. Kwa wenye ufahamu fasaha za tabia za watu. Sheikh siku zote mdomo wake unakimbilia kuzungumzia Mungu na utkufu wake. Na mnzinzi au mtu muasharati awe wa kike au kiume mdomo wake upo busy kuzungumzia uasharati.Halikadhilika na wacenge nao akili zao zimejiekeza kunako ucenge kiasi kwamba kila wamuonae kwao ni mcenge kama wao. Jerry Muro kajibu kwa hoja na facts za uhakika na ndio maana wanaojaribu kumjibu wanashindwa kumjibu wamebakia kukimbilia mitusi. Ukimuona mtu anashindwa kujibu hoja anakimbilia matusi ujue kapigwa. Jerry ni mstaarabu na msomi hawezi kutoka kwenye line of facts akajibu matusi lakini tutamjibia hizi hoja za matusi ingawa yeye mwenyewe hapendi tufanye hivyo.

    ReplyDelete
  5. Jerry Muro. Uliyoyau gumza yote ni kweli na yanaingia Akilini kwa muelewa.
    Mtu aseme anafatwa...!!!
    Kwa misingi gani??
    Hampeleki wala Hameudishi...
    Kama ni Kiki. Basi muilizeni Jitto...!! KAHAMIA FESI BUKUU
    NA NYIE MNAIJUA NJIA??
    Msituchanganye Kama mlivyochanganyikiwa.
    TUNAWAELEWENI NA MISHE MISHE ZETU PIA TUBAZIMANYA.
    KUMBUKENI HII NI AWAMU YA KUTOA UVIVU NA KULETA MAENDELEO.
    NA SI VINGINEVYO...!!
    Jerry Wape vidonge vyao.
    Ukweli na habari ndiyo HIYO MURO KAIWEKA BAYANA.
    HONGERA JERRY.
    KATAFUTENI MAKAZI KWA JITTO FESI BUKU NDIYO SAIZI YENU SI HAPA KWETU.

    ReplyDelete

Top Post Ad