Lema Amjibu Sirro Asema 'Tutaendeakkleaa Kujadili Swala la Lissu kwa Nguvu Zote Bila Kumuogopa Yeyote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lema Amjibu Sirro Asaeama 'Tutaendeakkleaa Kujadili Swala la Lissu kwa Nguvu Zote Bila Kumuogopa Yeyote
Baada ya IGP Simon Sirro kutoa tamko la kusitisha mjadala juu ya shambulio la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na badala yake viache vyombo vya usalama viendelee kufanya kazi hiyo, Mbunge wa Arusha Mjini amejibu kauli hiyo kwa kuipinga na

na kumuahidi kuwa wataendelea na majadiliano
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amejibu IGP Sirro kwamba wao wataendelea kujadili suala la Lissu kwa nguvu na bila kumuogopa mtu yeyoote
"IGP Sirro, Tutaendelea kujadili swala la Mh. Lissu kwa nguvu zote bila kumuogopa mtu yeyote. Utu na kweli una maana zaidi ya cheo na mshahara" Lema.

Akiwa ziarani Jijini Mbeya IGP Simon Sirro alitaka mjadala kuhusu kupigwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ufungwe mara moja wakati alipokuwa akizungumza na vikosi vya ulinzi na usalama ambapo amewaonya wanasiasa kuacha kuuendeleza na waliachie jeshi lifanye kazi yake.
Hata hivyo kauli ya IGP kutaka mjadala wa Lissu ufungwe umeibua hoja kutoka kwa watu mbalimbali akiwepo Wakili Peter Kibatala ambaye yeye ameahidi kutumia uwezo wake kwenye sheria kuhakikisha kauli ya IGP Sirro inatenguliwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Godi lesi.... Una jiamini kweli kweli....!!!!
    Sisi tunamuombea Afuweni .
    Wewe uko twita unatafuta Kiki.
    Je kweli unampenda TL au unataka kuichukua nafasi yake ambayo Chamani haikupendezewa.

    Kijana kumbuka Kikulacho.......
    Ulichukua izini kwa mwenye Kigoda.... Labda ....... card yako inaexpire kalibuni kwetu

    ReplyDelete
  2. hivi kisheria swala la kuwafunga watu midomo likoje,kama hawavunji sheria!!!!???

    ReplyDelete

Top Post Ad