Mtoto Amliza Nuh Mziwanda Aamua Kumtumia Waraka Mzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto Amliza Nuh Mziwanda Aamua Kumtumia Waraka Mzito
Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia nyasi! Hicho ndicho kinachoendelea kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, na aliyekuwa mkewe Nawal, ambapo baada ya kutengana kwao, Nuh anadai kuwa mtoto wao Anyaghile anateseka na ameonyesha hisia za kuumizwa na kutokuwa karibu na mwanae, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao.
Dhumuni la waraka aliouandika Nuh kwa mwanae, ni kumtaka atakapokuwa hapo baadaye ajue kuwa hakumtelekeza ili hata mama yake atakapojaribu kumjengea chuki kuwepo na ushahidi wa kuthibitisha kuwa siyo kweli.
Baada ya post hiyo, baadhi ya mashabiki walionyesha kuguswa na ujumbe wake na wakakoment kwa kumpa pole, huku wengine wakimbeza kwa kumwambia huenda amemmis mzazi mwenziye na si mtoto kama anavyosema.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad