Nandy na Ray C Warushiana Maneno Mtandaoni: “Sitokusalimu ila Nitakuheshimu”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumetokea kuandikiana kwenye mtandao wa Instagram baada ya Mwimbaji Mkongwe Ray C kuandika na kusema hajapendezwa na kitendo cha Nandy kuimba copy ya nyimbo za Ray C kwenye Tamasha la Fiesta.

Baada ya Ray C kumuonya Nandy asiendelee tena kuimba hizo nyimbo, Nandy nae alimjibu kwa hekima na kusema kuwa hakuwa na nia mbaya na amekua akifanya hivyo kuwaenzi Wakongwe ambao ndio wamewafungulia njia.

Kupata details zote bonyeza play hapa chini pia na kuona kila walichoandikiana…. VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad