Siri za Kijeshi za Australia Zaibwa Kupitia Udukuzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siri za Kijeshi za Australia Zaibwa Kupitia Udukuzi
Habari za siri kuhusu mpango wa jeshi la serikali ya Australia zimeibwa katika udukuzi wa mtandaoni.
Takriban GB 30 za data zilizokuwa na mwanakandarasi wa serikali zilidukuliwa ,ikiwemo maelezo kuhusu ndege mpya za kijeshi na manuwari.
Data hiyo ilikuwa na siri kubwa lakini haikutajwa kiwango chake kulingana na serikali hiyo.
Maafisa wa kukabiliana na maswala ya usalama wa mitandaoni nchini Australia walimtaja mdukuzi huyo kwa jina 'Alf' baada ya jina la muigizaji wa kipindi cha runinga cha 'Home and Away'.
Udukuzi huo ulianza mnamo mwezi Julai mwaka uliopita lakini idara ya ishara nchini Australia haijkujulishwa hadi mwezi Novemba
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad