WHO Yamteua Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe Kama 'Balozi Mwema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WHO Yamteua Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe Kama 'Balozi Mwema
Shirika la Afya duniani WHO limemteuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kama 'balozi mwema ' katika kusaidia kukabiliana na magonjwa yaliyosahaulika .

Akifafanua kuhusu uamuzi wa uteuzi huo Mkurugenzi Mkuu mpya wa WHO, Dr Tedros Adha-nom Ghebre-yesus, amesifu namna Zimbabwe inavyozingatia afya kwa umma.
Hata hivyo wakosoaji wanasema katika kipindi cha miaka thelathini na saba ya utawala wa Rais Mugabe, huduma za afya zimekuwa mbaya ambapo wahudumu wa afya wamekuwa hawalipwi mara kwa mara na kumekuwa na ukosefu mkubwa wa dawa muhimu .
Dr .Tedros, ni raia wa Ethiopia ambaye ni Muafrika wa kwanza kuongoza shirika la WHO na alichaguliwa kwa ajili ya kukabiliana na kile kilichoaminiwa kuwa ni kugeuzwa kwa shirika hilo kuwa la kisiasa.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad